1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ebola: Kirusi nadra lakini cha hatari sana

6 Desemba 2018

Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa hatari unaotokana na ulaji wa nyama za porini, mwanadamu huambukizwa baada ya kushika damu au majimaji ya mnyama alieambukizwa na baadae ugonjwa huo unasambaa kirahisi kutoka mtu mmoja hadi mwengine.

https://p.dw.com/p/39bQz