1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EACC yatoa "orodha nyeusi" ya wagombea kuelekea uchaguzi

Bruce Alakonya3 Juni 2022

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC imetoa orodha ya wagombea wa nyadhifa mbalimbali ambao inataka tume ya uchaguzi IEBC iwazuie kushiriki uchaguzi kwa sababu ya kesi zao zilizoko mahakamani. Je, sheria inasema nini kuhusu hilo? Sikiliza mahojiano ya Bruce Amani na mchambuzi wa siasa za Kenya Javas Bigambo.

https://p.dw.com/p/4CGUF