1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EAC na SADC hazijaufumbia macho mzozo wa DRC

George Njogopa (HON)17 Machi 2023

Serikali ya Tanzania imesema Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC hazijafumbia macho mzozo unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, akiwa ziarani nchini Afrika Kusini amesema nchi za kanda hizo bado zinahangaika juu ya namna ya kuutanzua mkwamo huo wa hali ya mambo. George Njogopa alituarifu.

https://p.dw.com/p/4OpKc