1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Kiswahili yatimiza miaka 60

Josephat Charo
1 Februari 2023

Idhaa ya Kiswahili ya DW Februari mosi 2023 inaadhimisha miaka 60 tangu kuasisiwa kwake. Katika kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara Josephat Charo anazungumzia miaka 60 ya Idhaa ya Kiswahili ya DW. Mezani yupo wafanyakazi wa zamani wa idhaa hii Ramadhan Ali, Othman Miraji, Mohammed Abdulrahman na Sekione Kitojo.

https://p.dw.com/p/4Msl9