1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Picha 9
MafunzoAfrika
9 Julai 2024
https://p.dw.com/p/4i3Ad

Jennifer, mtu mwenye ushawishi mitandaoni, Rahim, gwiji wa teknolojia, na Faith, mwalimu anayeipenda kazi yake, wanaunda timu isiyotarajiwa wanaposaidiana kupambana na majaribu ya kidijitali. Safari yao inawakutanisha na wadukuzi, walaghai na changamoto zinazowakabili katika ujuzi wao wa kidijitali.