Duka la dawa sasa kiganjani mwako. Ni kutokana na ukuaji wa teknolojia sasa hauna sababu ya kutafuta duka la dawa, ila unaingia tu kwenye simu yako unatafuta ama unaagiza dawa yako na mambo yanakuwa mepesi kabisa. Unataka kujua zaidi, msikilize Dotto Bulendu akitusimulia kwenye makala ya Sema Uvume.