1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC yaadhamisha miaka 62 ya uhuru wake kutoka Ubelgiji

Jean Noel Bamweze30 Juni 2022

DRC imefanya mazishi ya jino ambalo ndiyo mabaki pekee ya Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa nchi hiyo aliyeuawa mwaka 1961. Mazishi ya jino hilo la shujaa wa taifa la Kongo lililorejeshwa na Ubelgiji zaidi ya wiki moja iliyopita, yamefanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 62 ya Kongo kupata uhuru wake kutoka kwa Ubelgiji. Sikiliza ripoti ya Jean Noël Ba-Mweze kutoka Kinshasa.

https://p.dw.com/p/4DU2Z