1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Wanajeshi wazima shambulizi la vijana dhidi ya M23

Benjamin Kasembe13 Aprili 2023

Wanajeshi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopelekwa katika mji wa Kibumba wamezima shambulio kubwa lililokuwa limepangwa kufanywa na kundi jingine la vijana wanaojiita "Wazalendo", shambulio ambalo lingelenga ngome za waasi wa M23.

https://p.dw.com/p/4PziN