1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Uchaguzi wakati wa mripuko wa Ebola

Daniel Gakuba
14 Desemba 2018

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo unafanyika uchaguzi mkuu tarehe 23 Desemba, 2018. Uchaguzi huo unakabiliwa na changamoto chungu nzima za kisiasa na kimiundombinu. Na kama hayo hayatoshi, katika eneo la Mashariki, mripuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaleta changamoto nyingine.

https://p.dw.com/p/3A7QW