1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Waasi wa M23 wachukua udhibiti wa kijiji cha Nyamilima

5 Januari 2023

Waasi wa M23 wamekidhibiti tangu jana kijiji cha kimkakati cha Nyamilima umbali wa kilomita 20 kusini mwa kati ya Kongo na Uganda katika wilaya ya Rutshuru ambako milio ya risasi imeendelea kusikika hadi jana jioni. Waasi hao wanaotarajiwa kuondoka hii leo kwenye miji ya Rumangabo na Kishishe kama ilivyotakiwa na jeshi la kikanda la mataifa ya Afrika Mashariki. Sikiliza ripoti ya Benjamin Kasembe.

https://p.dw.com/p/4Ll7T