1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Ipi hatma ya muungano wa Union Sacrée?

Saleh Mwanamilongo5 Januari 2023

Baada ya kuondoka kwa Moise Katumbi kutoka muungano wa vyama vilivyoko madarakani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kutangaza kuwania urais mnamo Desemba 2023, Jean-Claude Muyambo, kiongozi wa chama cha SCODE pia ameamua kuondoka kutoka muungano huo unaomuunga mkono Rais Félix Tshisekedi. Sikiliza mahojiano kati ya Saleh Mwanamilongo na Delphin Kapaya mchambuzi wa masuala ya siasa.

https://p.dw.com/p/4LmcH