1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dr. Tulia Ackson wa CCM kuwania uspika wa Tanzania

Daniel Gakuba20 Januari 2022

Nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi CCM kimempitisha naibu Spika wa bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kuwa mgombea wa nafasi ya spika wa bunge hilo baada ya aliyekuwa Spika Job Ndugai kujiuzulu nafasi hiyo. Mwandishi wetu Deo Kaji Makomba aliyepo Dodoma alituletea ripoti hii.

https://p.dw.com/p/45qji