1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DR Kongo yaripoti maambukizi mapya ya Ebola

1 Juni 2020

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumeripotiwa mripuko mpya wa homa ya Ebola katika eneo la Kaskazini magharibi, wiki chache tu wakati taifa hilo likielekea kutangaza kuutokomeza ugonjwa huo eneo la Mashariki. Hili ni pigo jipya, wakati DRC ikiwa katikati ya vita dhidi ya janga jingine baya la virusi vya corona ambavyo tayari vimewaua watu 72.

https://p.dw.com/p/3d75B