1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund yapunguza mwanya na Bayern

Josephat Charo
14 Machi 2022

Borussia Dortmund wamepunguza mwanya kati yao na Bayern Munich, Erling Haaland arejea baada ya kupona jeraha. Felix Magath ndiye kocha mpya wa Hertha Berlin, kibarua cha Tayfun Korkut chaota mbawa. Wekundu wa Msimbazi Simba waparamia kileleni mwa kundi D katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

https://p.dw.com/p/48Sar