1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund yapokea kipigo barani Asia

22 Julai 2024

Borussia Dortmund wako barani Asia kwa ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya nchini Thailand na Japan, wakicheza mechi moja ya kirafiki katika kila nchi. Katika mechi ya kwanza ya kirafiki mjini Bangkok, Dortmund ilipokea kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa mabingwa wa sasa wa kombe la ligi ya Thailand BG Pathum United.

https://p.dw.com/p/4ibTU