1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund kuvaana na Madrid fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya

31 Mei 2024

Real Madrid wanacheza fainali kwa mara ya 15 ya makombe ya Ulaya, huku Borussia Dortmund wakipania kufanya maajabu makubwa kabisa katika historia ya hivi karibuni ya soka. Sikiliza mahojiano kati ya Hawa Bihoga na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/4gVz0