1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund kileleni mwa Jedwali

20 Machi 2023

Borussia Dortmund iliiduwaza FC Cologne kwa kuitandika mabao 6-1 katika uga wa nyumbani Signal Iduna Park na kujihakikishia kuwa vinara wa ligi ya Bundesliga kabla ya mapumziko ya mechi za kimataifa. Ushindi huu ulikuwa uthibitisho wa hivi karibuni wa uimara wa Dortmund.

https://p.dw.com/p/4Ox0o