1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Doria yaimarishwa mji wa Lira, Uganda

19 Novemba 2018

Doria imeimarishwa katika mji wa Lira, Kaskazini Mashariki mwa Uganda kufuatia ghasia za mwishoni mwa wiki zilizoandamana na uporaji wa mali za raia wa Uganda wenye asili ya Kihindi, kufuatia kifo cha mvulana mmoja wiki mbili zilizopita. Kuna madai kuwa aliuawa na wanaume wawili wa Kihindi. Lubega Emmanuel ametuarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/38V5k