1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dk. Bashiru Ali katibu mkuu mpya CCM

Sylvia Mwehozi30 Mei 2018

Katibu mkuu mpya wa Chama cha mapinduzi CCM, Dk. Bashiru Ali ambaye ameteuliwa jana na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa NEC, anakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo suala la makundi ya ndani ya chama.

https://p.dw.com/p/2yalo

Na suala lingine ni ufisadi hasa baada ya kuingoza kamati ya kuchunguza mali za chama. Hata hivyo wengi wanahoji mwanasiasa huyo ambaye siku zote amekuwa akijipambanua kutokuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, je ataweza kukabiliana na changamoto hizo? Sylvia Mwehozi amezungumza na kada wa CCM Profesa Ignald Pius Mihanjo zaidi yasikilize mahojiano yafuatayo.