1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DJ wa kike 'Sweet Lady' anayetia fora mitandaoni Tanzania

Sylvia Mwehozi10 Julai 2020

Kwenye kipindi cha Karibuni, safari hii tumemualika studioni DJ wa kike kutoka Tanzania ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni hasa kwa kupiga miziki inayosifu chama cha mapinduzi, dj Sweet Lady. Utasikia pia shairi pamoja na 'Je Umeipata hiyo?' Nahodha wako kwa siku ya leo ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3f5gJ