1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiAngola

DJ wa Angola apata umaarufu kutokana na wimbo wa kupinga mihadarati

5 Mei 2023

Manuel Jamba Marcelino maarufu kama DJ Lolo — anafahamika kwa kibao chake cha "Liamba." Raia huyu wa Angola mwenye umri wa miaka 35 anatumia wimbo wake kuhamasisha jamii kuhusu hatari za matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana.

https://p.dw.com/p/4Qx7d

DJ wa Angola apata umaarufu kutokana na wimbo wa kupinga mihadarati