1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Die Mannschaft yatamba ratiba ya FIFA

Josephat Charo
15 Novemba 2021

Ujerumani imekamilisha ratiba ya FIFA kwa kishindo huku ligi kuu ya Bundesliga ikitarajiwa kurejea viwanjani. Sikiliza mahojiano kati ya Josephat Charo na Saumu Njama (pichani) wakizungumzia matokeo ya timu ya taifa ya Ujerumani mechi za kufuzu kombe la dunia Qatar 2020 na mechi za Bundesliga mzunguko wa 12.

https://p.dw.com/p/431Qz