1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhuluma za polisi nchini Kenya

Wakio Mbogho18 Juni 2020

Katika mitandao ya kijamii hivi karibuni nchini Kenya, kulisambaa video iliyowanasa maafisa wa polisi wakimpiga mwanamke aliyekuwa nusu uchi, akiwa amefungwa kamba kwenye pikipiki na kuburutwa ardhini. Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wanalaani ukatili wa polisi, na wanachotaka ni haki kwa Mercy Cherono.

https://p.dw.com/p/3dze5