1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhuluma dhidi ya wazee Kenya

Bernard Maranga19 Julai 2017

Wazee wengi huteswa na kudhulumiwa kwani hawawezi kujikumu wala kujitetea. Serikali ya Kenya kila mwezi inawapa wazee kiasi fulani cha fedha ili waweze kujikimu kimaisha. Makala Yetu Leo inaangazia changamoto za rika hili na mikakati ya kuwatunza wazee hao.

https://p.dw.com/p/2gn9L
Wazee wakipanga foleni kupata matibabu ya bure Nakuru, Kenya
Wazee wakipanga foleni kupata matibabu ya bure Nakuru, KenyaPicha: DW/B. Maranga
Wazee katika siku ya kupinga dhuluma dhidi yao Nakuru, Kenya
Wazee katika siku ya kupinga dhuluma dhidi yao Nakuru, KenyaPicha: DW/B. Maranga