1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dawa za Mitishamba Burundi

29 Oktoba 2019

Shirika la afya duniani limebaini kwamba matumizi ya dawa za mitishamba Burundi yamefikia asilimia 90, huku Waziri wa afya nchini humo akisema serikali imo mbioni kuleta kifaa kitakachosaidia kupima kiwango cha dawa ya mitishamba kinachohitajika kupewa mgonjwa. Lakini zipi sababu zinazopelekea watu wengi kutumia dawa hizo? Makala yetu leo inaangazia hilo mtayarishaji ni Amida Issa.

https://p.dw.com/p/3S8Vz