1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Darasa hospitalini kwa watoto wanaougua saratani

22 Februari 2021

Darasa hili linajivunia mafanikio makubwa ikiwemo, baadhi ya wanafunzi kumaliza elimu ya msingi na kujiunga na elimu ya sekondari wangali bado wanapata matibabu hospitalini hapo.

https://p.dw.com/p/3pigk