1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Daraja la Werra

Sudi Mnette10 Oktoba 2019

Daraja la Werra linaunganisha majimbo mawili tofauti. Jimbo la Thuringia ambalo lilikuwa katika mamlaka iliyokuwa ya Ujerumani Mashariki na Hessia kwa upande mwingine Ujerumani Magharibi. Daraja hilo limebeba dhiba kubwa na kubeba kumbukumbu pekee ya maridhiano.

https://p.dw.com/p/3SRWN