1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dana Dana za Bundesliga na Josephat Charo

Josephat Charo
7 Oktoba 2023

Mechi za mzunguko wa saba za ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, zinarejea huku Borussia Dortmund ikiwa na miadi na Union Berlin nyumbani Signal Iduna Park Jumamosi.Kipi kitarajiwe? Josephat Charo anahojiwa na Angela Mdungu katika Dana Dana za Bundesliga na DW.

https://p.dw.com/p/4XDYd