1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Covid-19 yasababisha vifo vya watu 15 visiwani Zanzibar

12 Agosti 2021

Zanzibar imetangaza vifo vya watu 15 vilivyotokana na ugonjwa wa Covid-19 vilivyotokea kati ya mwezi Juni na Agosti. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Salma Said.

https://p.dw.com/p/3ysoz