1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COVID-19: Watalii waadimika Serengeti na Masaai Mara

21 Julai 2020

Tofauti na miaka iliyopita, ambapo maelfu kwa maelfu ya watalii wa kimataifa wangemiminika Maasai Mara kushuhudia mamilioni ya nyumbu wakivuka kutoka Serengeti hadi Masaai Mara, mwaka huu hali ni tofauti licha kuwa kipindi cha tukio hilo la kipekee kimeanza. Watalii wengi wa ndani na kimataifa hawajajitokeza kwa sababu ya janga la corona.

https://p.dw.com/p/3fenp