1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COVID-19: Changamoto za kufanya kazi nyumbani

5 Mei 2020

Je wewe ni miongoni mwa wale ambao wamelazimika kufanya kazi nyumbani kwa sababu ya janga la Corona? Changamoto zinazokukabili ni zipi? Baadhi ya waandishi wako wa habari wa DW Kiswhaili waelezea changamoto wanazokabiliana nazo wanapofanya kazi zao majumbani.

https://p.dw.com/p/3cG1Q