1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Congo yaamua kuandaa uchaguzi wake mkuu Disemba 2023

20 Desemba 2022

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo hii itakuwa umesalia mwaka mmoja kamili ili taifa hilo liingie katika uchaguzi mkuu. Uchaguzi Mkuu wa taifa hilo unatarajiwa kufanyika Desemba 2023. Sudi Mnette amezungumza na Edger Mateso makamu mwenyekiti wa asasi ya kiraia ya Kivu ya Kasikazini na alitaka kujua je, upo uhakika kwao kushiriki uchaguzi?

https://p.dw.com/p/4LDZh