1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Congo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

23 Desemba 2021

Mkutano wa 18 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki umeridhia ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na jumuiya hiyo, baada ya kujiridhisha na kuona zipo faida za moja kwa moja za ushirikiano na taifa hilo kubwa lililo kusini mwa jangwa la sahara.

https://p.dw.com/p/44kCL