1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Safari

Claudia Lumor, mwanzilishi wa jarida la Glitz Africa

7 Machi 2023

Baada ya kukaa miaka 8 nchini Uingereza, Claudia Lumor anarejea Ghana na kuanzisha Jarida la Glitz Africa.Dhima ni kuongeza mchango wake katika sekta ya mitindo na Urembo,hakika anafurahishwa na anachofanya,kutokana na mchango wake kuonekana na bayana kwenye tasnia hiyo.

https://p.dw.com/p/4OMH1