1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoUingereza

City kuanza kampeni ya kutetea taji la Ligi ya Mabingwa

18 Septemba 2023

Manchester City iko kwenye kundi G na imepigiwa upatu kufuzu katika hatua ya mtoano. Mabingwa hao watetezi watakuwa na kibarua dhidi ya RB Leipzig, Red Star Belgrade na Young Boys. Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu itachezwa katika dimba la Wembley, jijini London.

https://p.dw.com/p/4WUAx