1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Christine apepea mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Josephat Charo
6 Julai 2022

Makala ya wanawake na maendeleo inatazama mchango wa utendaji kazi wa wanawake katika mahakama ya jumuiya ya Afrika Mashariki, tukimchukua Christine Wekesa kama mfano wa wanawake walioshika mojawapo ya nafasi za juu na muhimu katika jumuiya hiyo kongwe barani Afrika. Ungana na Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/4Dlwf