1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

China yatoa msamaha kwa baadhi ya madeni ya Tanzania

4 Novemba 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya siku mbili nchini China. Sudi Mnette anazungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Stergomena Lawrence Tax ambae anaelezea mambo muhimu yaliyofikiwa katika ziara hiyo.

https://p.dw.com/p/4J5yR