1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

China yachukua udhibiti wa ubalozi mdogo wa Marekani

27 Julai 2020

China imetangaza kuchukua udhibiti wa ubalozi mdogo wa Marekani mjini Chengdu. Hii ni baada ya China kuamuru ubalozi huo kufungwa, ikilipiza kisasi dhidi ya hatua ya Marekani kuiamuru China pia kuufunga ubalozi wake mdogo mjini Houston. Kurunzi

https://p.dw.com/p/3fz6w