1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanzo, madhara na tiba ya ugonjwa wa Jongo

Alex Mchomvu15 Juni 2023

Jongo au podagra ni ugonjwa unaosababisha kupasuka katikati kwa kidole gumba cha mguu wa mwanadamu pamoja na maumivu makali ya viungo vya miguu na mikono, yanayo sababishwa na maambukizi ya mara kwa mara ambayo huanza kwa kuvimba au kufura kwa kiungio cha kidole gumba. Aliyeandaa makala haya ni Alex Mchomvu.

https://p.dw.com/p/4ScJm