1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanjo ya COVID-19 imeshasambazwa mikoa mingi ya Tanzania

Deo Kaji Makomba4 Agosti 2021

Nchini Tanzania chanjo ya kujikinga na COVID-19 imekwishambazwa katika mikoa tofauti ikiwemo Dodoma ambako mamia ya watu wamejitokeza kuchanjwa.

https://p.dw.com/p/3yWb8