1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanjo bandia zatolewa Uganda

30 Juni 2021

Watu wapatao 800 nchini Uganda wanadaiwa kupewa chanjo bandia ya COVID-19, hali iliyozusha wasiwasi na mashaka miongoni mwa watu waliokwisha chanjwa nchini humo. Isikilize ripoti ya mwandishi wetu kutoka Kampala Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/3vpl8