1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za wafanyabiashara wa kike Burundi

Amida Issa/MMT8 Desemba 2020

Makala ya wanawake na maendeleo inamulika changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa kike nchini Burundi. Licha ya kuhangaika katika kujikwamua wanawake nchini humo wanakabiliwa na viunzi kadha vinavyokwamisha harakati zao katika kujitafutia riziki na Amida Issa anazungumza nao wakitoa kilio chao.

https://p.dw.com/p/3mPXF