1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaojijenga katika tasnia ya ubunifu wa mavazi

22 Machi 2018

Sekta ya ubunifu wa mavazi inakuwa barani Afrika na ni yenye ushindani mkubwa. Wabunifu wa kike wanajaribu kupambana katika sekta hiyo ya fesheni ambayo wenye majina makubwa zaidi ni wabunifu wa kiume. Sikiliza zaidi katika kipindi cha wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/2ukyF