1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzee wa mapema

John Juma13 Desemba 2016

​​​​​​​Je uzee ni umri tu? La hasha, mtu huweza kuwa na umri mdogo ilhali ashaanza kuzeeka. Je sababu za uzee wa mapema ni zipi. Katika makala ya Afya Yako, John Juma anawashirikisha wataalamu katika kuliangazia suala hilo na jinsi ya kukabiliana nalo.

https://p.dw.com/p/2U6m1