1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na Haki

Changamoto za kisheria mahakama za Tanzania

Prosper Kwigize6 Februari 2019

Mahakama ni chombo muhimu katika utoaji wa haki kwa jamii lakini pale inaposhindwa kutimiza kazi yake kwa ufanisi wananchi ndiyo wanaoumia. Katika kipindi hiki cha Mbiu ya Mnyonge, utayasikia madhila wanayoyapata Watanzania wanapoisaka haki yao mahakamani.

https://p.dw.com/p/3Cp43