1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za mpaka wa Rusumo wakati wa virusi vya corona

Jacob Safari Bomani5 Mei 2020

Madereva wa malori na wakaazi wa eneo la Benaco karibu kilomita 25 kutoka mpaka wa Rusumo kati ya Rwanda na Tanzania wamekuwa wakivutana kuhusu hatua zinazochukuliwa na Rwanda kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona. Sikiliza maoni ya dereva katika eneo hilo.

https://p.dw.com/p/3boca