1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto gani wanazopitia makarani wa sensa?

24 Agosti 2022

Pamekuwa na malalamiko kuhusu maswali kadhaa yanayoulizwa na baadhi ya makarani wakati wa sensa huko Tanzania. Je wananchi wanayapokea vipi maswali hayo pindi wanapoulizwa? Hilo ni miongoni mwa maswali Grace Kabogo aliyomuuliza Jacob Safari, ambaye mwaka 2009, alifanya kazi ya ukarani wa sensa nchini Kenya na hapa anatoa uzoefu wake.

https://p.dw.com/p/4Fxv4