1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha NCCR Mageuzi chaikosoa serikali Tanzania

2 Desemba 2021

Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Alhamis, amekosoa mwenendo wa serikali ya nchi hiyo kwa namna inavyoshughulia masuala mbalimbali ikiwemo mvutano kuhusu sukari, janga la virusi vya corona pamoja na hali ya kisiasa nchini humo. Isikilize ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/43kj6