1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA yajibu hoja alizozitoa Rais Samia Suluhu katika mahojiano na BBC

Sudi Mnette10 Agosti 2021

CHADEMA kimetolea ufafanuzi kile kilichosemwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, pale alipofanya mahojiano maalumu na shirika la utangazaji wa Uingereza BBC. Katika mahojiano hayo, pamoja na mambo mengine Rais Samia alizungumzia juu ya kukamatwa kwa mwenyekiti chama hicho, Freeman Mbowe. Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

https://p.dw.com/p/3yoJE