1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA yaelezea mikakati ya kumnasua Mbowe

Grace Kabogo7 Februari 2022

Mjadala wa uendeshaji wa kesi ya mashtaka yanayohusiana na ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA, Freeman Mbowe umekuwa ukiendelea,huku chama hicho kikisema kinaendelea na mikakati ya kumnasua kiongozi wao huyo. Grace Kabogo amezungumza na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kukata kufahamu chama hicho kina mkakati gani ambao utasaidia kumtoa kiongozi wao gerezani.

https://p.dw.com/p/46ddy